Hii
ni version ya pili baada ya ile ya kwanza iliyotoka February 13 2013
kutoka kwa Madee,Hii wameshirikishwa P Unit kutoka 254 Kenya,Production
ni ile ile ya Marco Chali toka Mj records.
kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa kabla hujaisikiliza sehemu yoyote.
Bonyeza play kusikiliza.
credit to Millardayo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako