JUST IN:Sikiliza na Dowload wimbo Mpya wa AY-ASANTE,Ni Bonge la Ngoma
Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae
na kumwambia asante kwa yote alokufanyia, mko wote long time
mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni maneno ya AY yakisikika kwenye intro
ya wimbo wake Brand new aliouachia
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako