TAARIFA
zilizotufikia hivi punde kutoka Morogoro ni kwamba malori mawili
yamegongana eneo la Mikese mkoani humo na kulipuka moto ambapo mojawapo
ya lori lilikuwa na shehena ya mafuta!
Mpaka sasa malori hayo
yanaendelea kuteketea kwa moto.
Taarifa zaidi na picha za tukio hili
vitawajia punde
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako