A

A

Kilichotokea Baada ya Mtandao wa Wassap kuzimwa,Pia Kauli ya Wamiliki wa Wassap hii hapa



Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp  kupata tatizo kwa masaa machache watumiaji wa

mtandao huo wameingia kwenye mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.

Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani baada ya muda mfupi.

Hizi ndio twit zao

Mambo haya yalianza kusamba kwenye mitandao kuhusu whatsup kuzimwa.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako