Alichokisema Mrembo aliyevunja Ndoa ya Msanii Bob Junior
ni…!!
Mama wa mtoto wa kike mmoja na muigizaji kutoka
kenya ambaye vile vile ni Promota ambaye alikumbwa na skendo kuwa ndiye
chanzo cha ndoa ya msanii kutoka Tanzania Bob Junior na mkewe kuvunjika.
Mwanadada huyu anayejulikana kwa
jina la Ashlay Toto alikumbwa na skendo hiyo walipokuwa nchini Denmack
na Bob Junior kikazi. baada ya skendo hiyo kumfikia mwanadada huyu
alifunguka na kukanusha taarifa hizo vile vile Bob Junior naye pia
alifunguka na kukanusha taarifa hizo.
Siku kadhaa zilizopita Bob Junior alifunga tena ndoa na aliyekuwa mke
wake ambaye waliachana kwa kwa miezi kadhaa. Hapa mwanadada huyu kaamua
kufunguka na kueleza hisia zake kuhusu ndoa hiyo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako