Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akiondoa mpira wa kichwa uliopigwa na mshambuliaji wa Man U, Robin Van Persie.
Arsenal wameshindwa kufurukuta kwa Manchester United na kulazimishwa sare ya 0-0 mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Emirates, London usiku huu! Kwa matokeo hayo Arsenal wanabaki nafasi ya 2, Man U wakiwa nafasi yao ya 7
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako