A

A

Mwonekano wa Jiji la Dsm Mitaa ya Posta Asubuhi ya Leo 13/02/2014

Hapa ni Posta Mpya Jijini Dsm asubuhi ya Leo Tar.13/02/2014,Watanzania wapo kwenye pirikapirika za Kusaka Riziki ya Kila siku.
 Naam,Vikwangua Anga Vinaongezeka Kwa kasi hapa Dsm,Nyuma ya Jengo la NMB HOUSE Posta Mpya kuna Vikwangua Anga Viwili Vimeshapandishwa.
Yes,hapa ni Mtaa ya Maktaba kuelekea Mtaa wa Ohio na Posta Mpya Jijini Dsm.
 Mkapa Tower Posta Mpya.
Picha imepigwa Nikiwa Upande wa Jagwani,Kwa Mbali ni Ghorofa za Kariakoo zinajengwa Kwa kasi sana.
Ujenzi unaendelea wa barabara za Kisasa za Mabasi yaendao kasi,Hapa ni Magomeni Mapipa.
 Jengo la Kwanza linaitwa Uhuru Freights na Jengo la Pili ni VIVA Towere Makutano ya Barabara ya Ohio na Kuelekea Salenda Brigde Road.
Picha zote ni Mali ya Habari Kwanza Blog

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako