Mke
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein,akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja aliposhiriki
katika hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi ,katika shamra shamra za
Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mke
wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Fatma Karume akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja aliposhiriki
katika hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi ,katika shamra shamra za
Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mzee Ali Hassan Mwinyi,katika hafla kutunuku
Nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra
shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi wenye sifa Maalum kwa Dk. Salim
Ahmed Salim,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini
Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi wenye sifa Maalum kwa Bw.
Baraka Shamte,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini
Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi Makundi na Wenye sifa Maalum
kwa Bw. Col Soud Haji Khatib,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu
Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na kamati ya Nishani alipowasili katika uwanja wa Ikulu
Mjini Unguja katika sherehe za kutunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Rais wa
Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wastaafu,Viongozi
walioasisi,kuenzi na kudumisha Mapinduzi,pamoja na Viongozi mbali mbali
wenye sifa za Kipekee na wenye Sifa Maalum,katika shamra shamra za Miaka
50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisimama pamoja na Viongozi,Wananchi pamoja na Wakuu wa vikosi vya
Ulinzi wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika sherehe za kunuku Nishani
ya Mapinduzi,katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]