Taarifa Kutoka Iringa,Mbunge wa CHADEMA Peter Msingwa Augua Ghafla na Kukimbizwa Hospitali
Mbunge wa Iringa Mjini Kwa Tiketi ya CHADEMA Mh.Peter Msigwa(Mchungaji) amezidiwa ghafla na homa na kukimbizwa hospital,hali hiyo
imetokea wkt wakiwa kwenye shughuli za kichama.madaktari wanamuhudumia
vzr na anaendelea vyema sasa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako