A

A

Kutoka Mahakamani Kwenye Pingamizi la Zitto,SIku ya Leo Jaji amefikia Hatua hii

#‎HABARI‬ Kutoka Mahakamani Kuhusu Pingamizi La Mh.Zitto Kabwe kutojadiliwa Na Kamati Kuu Ya Chadema.
Hakimu ameahirisha Kesi hiyo hadi Jumatatu kwaajili Ya Maamuzi Kwani Wanasheria Wote wa Pande Mbili wameshawasilisha hoja zao,Bado Maamuzi tu.

‪#‎FAHAMU‬ Zitto Kabwe anamtetezi Mmoja tu Wakili MOSOMI Alberto Msando. WAKATI CHADEMA Upande wao Unatetewa na Mawakili Watatu wakiongozwa na Tundu Antipas Lissu,Kibatara na John Mallya.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako