"Askari wa kikoloni", akipewa adhabu ya push up baada ya kuboronga wakati wa gwaride. Hili lilikuwa igizo lililoendeshwa na askari polisi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa michezo Aman mjini Unguja Jumapili Januari 12, 2014.
Kamanda wa kikosi cha askari
KAR, akiongoza
wenzake kwenye onyesho la kuiga lililoendeshwa na askari polisi kuonyesha jinsi jeshi la kikoloni lilivyokuwa likifanya mambo yake.
Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohammed Sheni, akikagua vikosi vya ulinzi kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye uwanja wa michezo Aman mjini Zanzibar Jumapili Januari 12, 2014