A

A

Picha za Ajali ya Gari lililogonga Nyumba ya Mtu na Kuingia Ndani kisha Kumjerushi Producer wa Mziki




Producer Dupy

Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO




No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako