| Jennifer |
Hanifa Daud(Jennifer) ambaye ni mtoto alityetamba katika filamu za Uncle
JJ na This Is It akiwa na marehemu Steven Kanumba anadaiwa kulipwa si
chini ya sh.million 2 za kitanzania kwa kila filamu anayoigiza. Chanzo
kimoja ambacho ni star wa filamu na pia producer maarufu Swahiliwood
kilisema kuwa Jenifer anapendwa na ana mashabiki wengi licha ya kuwa
mtoto hivyo analipwa kama baadhi ya mastaa wakubwa wanavyolipwa nchini
kwa kila filamu.
" Jenifer ana fans wengi na anapendwa na wengi, dau lake si chini ya milioni 2 za kibongo kwa kila filamu, hachezi filamu nyingi kwa wakati mmoja so filamu anazoigiza hufanya vizuri, watu huwa hawamuoni sana kwenye filamu nyingi ndiyo sababu hupata hamu ya kuona filamu zake mpya" kilisema chanzo hicho kikichonga na Swahiliworldplanet
Kwasasa Jennifer anasoma kidato cha kwanza(form one) na baadhi ya filamu zake mpya zinatarajiwa kuingia sokoni mapema mwaka huu.
Jenifer akiwa na marehemu Kanumba

Credit-swahiliworldplanet
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako