Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin
Mkapa, wakati alipowasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter Oysterbay,
leo asubuhi kwa ajili ya kushiriki katika Harambee ya kuchangia Ujenzi
wa Ukumbi wa mikutano wa Kanisa hilo. ambapo zaidi ya Sh. milioni 65
zilipatikana kati ya Sh. milioni 600, zinazohitajika hadi ifikapo mwezi
Julai. Kati ya hizo Cash ni Sh. milioni 5 na zilizobakia zikiwa ni
ahadi.

Picha ya pamoja

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal na Rais Mtaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, wakishiriki
katika Misa maalum ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Ukumbi wa
mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam, leo asubuhi Jan 26, 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Rais Mstaafu wa
awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na baadhi ya viongozi, wakitoka kukagua maeneleo
ya ujenzi wa ukumbi huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal na Rais Mtaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, wakishiriki
katika Misa maalum ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Ukumbi wa
mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam, leo asubuhi Jan 26, 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Ibada
maalum ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Kanisa
la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo asubuhi
Jan 26, 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na Mwadhama Cardinari Polycap Pengo, wakati
wa ibada maalum ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa
Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo
asubuhi Jan 26, 2014

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akisalimiana na
Mwadhama Cardinari Polycap Pengo, wakati wa ibada maalum ya Harambee ya
kuchangia ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter
lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo asubuhi Jan 26, 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal na Rais Mtaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, wakishiriki
katika Misa maalum ya Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Ukumbi wa
mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam, leo asubuhi Jan 26, 2014

Baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu waliohudhuria Ibada hiyo

Baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu waliohudhuria Ibada hiyo

Baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu waliohudhuria Ibada hiyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal,
akiongoza na na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, kutoka kanisani baada ya
ibada hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin
Mkapa wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa ukumbi wa
mikutano wa Kanisa la Mtakatifu Peter, baada ya ibada maalum ya harambee
ya kuchangia ujenzi huo, iliyofanyika leo asubuhi, Jan 26, 2014.
Kushoto ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Peter, Stephano Kaombe

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu
Peter, Stephano Kaombe, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ukumbi wa mikutano
wa Kanisa la Mtakatifu Peter lililopo Oysterbay jijini Dar es Salaam,
wakati wa harambee ya kuchangia ujnenzi wa Ukumbi huo iliyofanyika leo
asubuhi Jan 26, 2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako