Meneja Mwandamizi wa Benki ya CRDB anayeshughulika na wateja wadogo
na wa Kati, Eribariki Masuke, akikata keki wakati wa hafla ya kutimiza
miaka 2 kwa tawi la Benki ya CRDB Ubungo. Kulia ni Meneja wa CRDB tawi
la Ubungo, Oswald Kweka na wa pili kulia ni Ofisa wa benki hiyo,
Angelitha Msaki.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakipata keki wakagti wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako