A

A

IBADA YA KITAIFA AFRIKA KUSINI KUMUAGA MANDELA LEO

Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake.   Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako