Mfungaji
wa mabao mawili ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika sare ya 2-2
na Uganda, The Cranes kwenye Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika
Mashariki na Kati, CECAFA Challenge, Mrisho Ngassa akiwa ameketi benchi
Uwanja wa Manispaa, Mombasa, Kenya baada ya kutoka dakika ya 80
alipoumizwa na wachezaji wa Uganda. Hata hivyo, Stars ilishinda kwa
penalti 3-2 baada ya sare hiyo ya 2-2 ndani ya dakika 90. Picha
zinazofuatia ni namna Ngassa alivyoumizwa kidevuni kwa kiwiko na kwanga
la mguu lililomuumiza kifundo cha mguu. Na picha nyingine ni wakati
anaumizwa uwanjani.
|
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako