A

A

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKAGUA MAJI YENYE SUMU TOKA VIWANDANI MOROGORO


PG4A8980
Maji yenye sumu, kemikali na tindikali kutoka kwenye viwanda vya 21st Century cha nguo, Morogoro Canvanse na kiwanda cha Magunia Morogoro yakitiririka kuelekea mtoni baada ya viwanda hivyo kushindwa kuzingatia masharti ya kusafisha maji hayo kabla ya kuyaelekeza  mtoni. Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda alitembelea eneo hilo Desemba 7, 2013.(Picha na Ofisi aWaziri Mkuu)
PG4A8989
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda , Viongozi wa Baraza la Mazingiea nchini, NEMC na viongozi wa mkoa wa Morogoro wakitazama maji yenye sumu, kemikali na tindikali yaliyoekekezwa mtoni yakitoka kwenye viwanda vya 21st  Century cha nguo, Morogoro  Canvanse na kiwanda cha magunia cha Morogoro wakati alipotembela eneo Kihonda mbuyuni kukagua  athari za maji hayo.(Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako