Gari aina ya
Toyota Hilux lenye namba za usajili T697 BNB likiwa vibaya kutokana na
kugonga treni ya abiria kwa mbele iliyokuwa ikitokea mikoa ya kanda ya
ziwa. barabara ya iringa Dodoma
Asikari wa usalama barabarani wakiandika maelezo kaza baada ya kuyakusanya kwa mashuhuda walioishuhudia ajali ya Gari Dogo aina ya Toyota Hilux lililogonga treni ya abiria kwenye injini ajili hiyo imetokea jana saa 11;30 katika barabara ya Dodoma Iringa.
Injini ya Gari hilo inavyoonekana.
Wananchi wa
manispaa ya Dodoma wakilishangaa Gari lililogonga Treni likiwa
limehalibika vibaya baada ya injini yake kuharibiwa vibaya nahuku Dereva
akiwahishwa hospital akiwa hajitambui.
Sehemu ya Barabara hiyo inavyoonekana huku ikiwa haina alama yoyote ya tahadhari
Asikari wa
usarama barabarani akiwa karibu na Gari hilo baada yakuondolewa toka
kwenye gema lililoinusuru isitumbukie chini ya Daraja ilipotokea ajali
hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako