Hali ya waziri wa fedha,Dk.William
Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark
nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.
Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.
CHANZO:Raia Mwema.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako