A

A

BREAKING NEWSSS ... WAZIRI MKUU MSTAAFU MH. EDWARD LOWASSA ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI YA NDEGE


Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa kifo kwenye ajali mbaya ya ndege baada ya ndege ya Precision  Air kupasuka matairi yote 4 wakati ikitua jijini Arusha muda huu.

Picha zaidi za tukio zitakujia hivi punde. Endelea kuwa na HABARI KWANZA BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako