A

A

"Bongo Muvi wanamwonea wivu Wema Sepetu"...Martin Kadinda

 

Manager wa Wema Sepetu Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine kwa kile anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua mitandaoni... Pia amesema wamegundua kuna Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine...
Wema Anapendwa na mashabiki zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako