A

A

ABDULRAHMAN KINANA APOKEA KERO ZA WAFANYAKAZI TAZARA MBEYA






Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi huku wakiwa wameshika mabango ya kupongeza serilkali na Chama cha mapinduzi kwa kutekeleza ilani ya Uchaguzi ya Chama cha hicho wakati alipopokelewa eneo la Iwambi akitokea Wilaya ya Mbeya Vijijini ambapo leo ameanza ziara katika wilaya ya Mbeya mjini na kutembelea Shirika la TAZARA na kuongea na wafanyakazi, ambapo amepokea matatizo mbalimbali ya shirika hilo na wafanyakazi, Katika ziara hiyo kinana ameongozana na Nape Nnauye Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa , Kulia ni Ephraim Mwaitenda Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya mjini, Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake anatarajia kurudi Dar es salaam kwa kutumia treni hiyo ya TAZARA mara baada ya kumalizika kwa zara yake mwishoni mwa wiki hiii .PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA 2 

Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali wa shirika la TAZARA Mbeya wakimsubiri Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 4 

6 


Baadhi ya abiria wakivinjari katika kituo hicho kulia anayepishana nao ni Nape Nnauye 12 

Meneja wa TAZARA Kandaya Mbeya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM ili kuongea na wafanyakazi wa shirika hilo. 13 

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini huku akiongozana na Meneja wa TAZARA kanda ya Mbeya Bw. Jija Nyirenda 14 

Baadhi ya wafanyakazi wa TAZARA wakimsikiliza katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana 15 

Mwakilishi wa wafanyakazi wa shirika hilo Shaban Malekela akisoma taarifa ya wafanyakazi hao iliyoainisha matatizo yao wanayokumbana nayo katika shirika hilo. 16 

Mfanyakzi mstaafu wa TAZARA Mzee  Seif Rashid akitoa kero katika mkutano huo. 17 


Mkutano ukiendelea

  21 


Kituo kikuu cha TAZARA Iyunga mjini Mbeya

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako