Mahakama
ya Rufaa Kanda ya Dar imeridhia hukumu iliyotolewa na Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu ya faini ya Sh. Milioni 13 na kumwachia huru staa wa
filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Kajala
sasa anapeta katika rufaa hiyo iliyofunguliwa na mumewe, Faraji
Agostino, ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano katika hukumu ya
kesi ya kutakatisha fedha haramu iliyotolewa mapema mwaka huu.
Chanzo GPL
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako