Watu wote mnakaribishwa siku hii ya
uhuru kutakuwa na vyakula, vinywaji music na mambo mengi ya
kuchangamsha. Unachotakiwa ni kulipa 30$ tu mlangoni njoo tusherekehe
siku yetu watanzania kufika kwenu ndiyo mafanikio ya sherehe hii.
Sherehe zitaanza saa 11 na nusu jioni njoo mapema uwahi meza yako, usije
kula chakula na kunywa ukiwa umesimama chakula kikakimbilia miguuni na
ukashindwa kucheza music. Ma DJ wetu bora watatuchezesha mwendo wa
ndombolo na rusha roho hadi kukuche, (Dress to Impress) Wote
mnakaribishwa. Ukitaka kufika kwa kutumia train chukua N, Q kwenda
Queens hadi 36Th Street, Na tembea mtaa mmoja hadi 37Th St kunja kulia
jengo litakuwa mkono wako wa kushoto.
Ticket zimeanza kuunzwa mbele ya desk
la Tanzania Mission New York. Na pia unaweza kupa ticket hizo kupitia
kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo ya uhuru, kwa kupiga # hizi za
simu, #347 663 0781, #917 557 3195, na #347 475 4313 pata ticket yako
sasa.
Address
Address
Claudio's Cafe II,
32-23 37th Avenue.
Astoria, NY 11101

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako