Lile shindano lako kubwa la Epiq Bongo Star Search imekaribia na
litafanyika pale kwenye ukumbi wa ESCAPE 1 na mshindi kuondoka na Mil 50
CASH. Tiketi kawaida zitauzwa kwa sh elfu 20 na VIP zitakuwa sh elfu
50.
Wasanii watakaosindikiza shindano hilo ni pamoja na Barnaba, Peter
Msechu, Young Killer, Shaa, Water Chilambo, Snura, Makomandoo pamoja na
Bora Bora Band, kwenye mashine atakuwa DJ SUMMER.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako