A

A

Picha ya producer C9 baada ya kupata ajali na kuumia kichwani


c9 - Copy 
Huyu ni producer maarufu na ametengeneza  nyimbo kama Mama Ntilie ya A.T na nyimbo nyingi za marehemu Sharo milionea.
Hivi sasa anawania tuzo ya KTMA kwenye kipengele cha mtayarishaji bora wa muziki wa bendi na hivi karibuni amepata ajali ya bajaj na kuumia kichwani.
C9 anaendelea vizuri na hiyo picha ndiyo jinsi alivyoumia na bajaj jinsi ilivyoharibika.