Habari kuhusu hii ishu ni kwamba mkali wa ilala juz kati
alimchapa makonde dada mmoja wakuitwa Aisha Sued wakati wa usiku wa
pasaka huku kisa kisijulikane.
Kila kitu kimefanyika under the hood Ilala kwenye bar moja huko na
baada ya huo usiku Chidy Benz amekua member wa selo za polisi hadi leo.