Pichani ni Kijiji cha Lunyere (DarPori) ambacho kipo umbali wa zaidi ya kilometa 90 kutoka wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma.
Kijiji hiki kipo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wananchi
wanailalamikia serikali kwa kushindwa kutengeneza barabara ya kutoka
wilayani humo hadi huko kutokana kuwa katika hali mbaya.
Kijiji hiki toka kianzishwe mwaka 1992 na kusajiliwa rasmi mwaka 2003 hakijawahi kuwa na zahanati. Eneo hili lina mtawanyiko wa maisha na serikali ya aina yake.
Kijiji hiki toka kianzishwe mwaka 1992 na kusajiliwa rasmi mwaka 2003 hakijawahi kuwa na zahanati. Eneo hili lina mtawanyiko wa maisha na serikali ya aina yake.
(Picha, Maelezo: Kassian Nyandindi via Lukwangule blog)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako