Siku
za karibuni, Nyota wa muziki nchini Tanzania Ray C pamoja na TID
waliingia kwenye headlines kutokana na kauli za kupishana katika mtandao
wa Instagram.TID alionekana kuja juu kutokana na comment iliyotolewa na
Ray C instagram kwenye moja ya post zake.
Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Baada ya kukaa kimya akimuuguza mama yake hatimaye mwanadada Ray C amejibu kile kilichosemwa na TID.
Hii
ndio kauli ya Ray C, Namnukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi
yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.(na kuhusu @tidmnyama
-Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya
tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga
ya dunia!ubarikiwe sana babaa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako