Mkuu
wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akipokea mwenge wa uhuru
wilayani mwake katika kijiji cha Kimani kata ya Mfumbi wilayani hapo
jana Juni 30, 2014
Mkuu
wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akikiri kupokea mwnge wa uhuru
kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Wakiagana na kutakiana kila la heri.
Wakijiandaa
kuondoka eneo la makabidhiano ya mwenge wa uhuru 2014. Taarifa kamili
na picha zote za tukio hilo zitakujia muda si mrefu sana.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako