Jana mchana, mtu mmoja kisiwani Pemba amejeruhiwa vibaya baada ya
kupata kipigo kutoka kwa askari jamii. Mkasa huo umetokea katika kijiji
cha
Msingini Chake chake mkoa wa kusini pemba ambapo Polisi jamii wa
Shehia hio waliamua kumpiga mtu huyo baada ya kuonekana akila mchana
akiwa pamoja na wenzake watatu ambao walifanikiwa kukimbia na kutokomea
kusiko julikana.(Chanzo : Mazrui Media & Communication)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako