Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua hii aliyoamua kuifanya mtoto wake
Nuh kwa upande wake.
Baba yake Nuh amezungumza hilo baada ya kuulizwa na Soudy Brown kuhusiana na stori zilizosambaa juu ya kusemekana kumkataa Shilole,msikilize Baba yake Nuh akizungumza na Soudy Brown.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako