A

A

(Over 18 tu)Video vixen maarufu Hudda Monroe akifanya yake akiwa ndani ya bikini tu.

huddah-monroe-curve
Model maarufu huko nchini Kenya mwenye kila aina ya vituko vyake, ameonekana akiwa anafanya photoshoot huku amevalia bikini tu, huku sehemu kubwa ya
maungo yake yakiwa nje wakati huo huo yeye mwenyewe akiwa very confortable, kweli kila mtu na kazi yake. Huda Monroe aliwahi kupatwa na skendo kubwa ya kupiga picha na muandaaji wa muziki Mustapha wa huko Kenya, moja ya picha chache zilizopelekea maandamano ya wanawake na wasanii wengi wa kike yakiongozwa na mwanamuziki Nyota Ndogo, kwa kitendo cha kupiga picha hizo kilisemekana kuwa producer huyo alikuwa anazalilisha wanawake na kufanya aombe msamaha. Angalia kipande hiki cha video kikimuonyesha mrembo huyo akiwa kazini.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako