A

A

BREAKING NEWZZZ MAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI WAIBA,WAUA POLISI,PICHA HIZI HAPA

Tukio la Kusikitisha limetokea Mkoani pwani Mchana huu wa Tar.11/06/2014 ambapo Majambazi wamevamia Kituo cha Polisi cha Kimanzichana na Kuua kwa Mapanga Polisi Mmoja na Kisha kupora Silaha mbili SMG moja na Bunduki nyingine.
Mwili wa Askari Umeshachukuliwa na Umepelekwa Mochwari wakati hatua Zingine za Kiusalama zikiendelea.
Picha/Maelezo na Festo Sanga.
Tafadhali Ukiamua kutumia picha hizi andika Umezitoa wapi.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako