SHIKAMOO MKOROGO NA CAMERA 360..!! MTAZAME Dvj PENNY ALIVYOKUWA ENZI HIZOO, ALIPOKUWA MPENZI WA DUNGA
Katika Picha Hizi Hpo Chini zinamuonyesha aliyekuwa mpenzi wa Diamond
Platnumz Dvj Penny alivyokuwa miaka hiyo kabla mkorogo na Camera 360
hazijaingia tz, Katika picha hizo zinamuonyesha Dvj Penny akiwa amekaa
kimahaba na producer wa muziki alijichukulia jina kubwa kutokana na kazi
zake DUNGA, ambaye inasadikika alikuwa mpenzi wake miaka hiyo.
|
Akiwa na Dunga |
Picha Kwa Hisani Ya Jipange101