watoto watatu,
ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003,
Hunifahamu 2005.. pia ana miliki magari. Dully Sykes anamiliki studio
iitwayo dhahabu records na 1.4 ambayo atafungua pia academy ya
production hivi karibuni.
Mwanzoni
mwa mwaka huu Dully alisema anahamisha makazi ya studio 1.4 kutoka
Tabata ili awafate wateja maeneo ya Kariakoo ila uamuzi huo
ameubadilisha