? Mbwa wa Dr Florence Temba akiwa mikononi mwa baba yake baada ya
kufa kutokana na kuteleza kwenye ngazi na kuangukia kichwa kisha kukata
roho papo hapo. Mbwa wa Dr Florence hakuna asiye mjua kwa yeyote
aliewahi kufika nyumbani kwa Dr Temba hakukosa kumuona mbwa huyu. Kitu
kilichosababisha mbwa huyu kufa ni kuanguka akikimbilia chakula
anachokipenda ambacho ni Cheese. Alikimbia kwenye ngazi za kushuka
chini kwa furaha na bila uangalifu na kujikuta akiteleza kutoka gorofani
hadi chini na papo hapo umauti kumkuta.
Dr Florence na majonzi tele baada ya kufiwa na mbwa wake aliempenda sana na kumfanya ni mmoja ya ndani ya familia yake.
Hapa ni watoto wa Dr Florence akiwa na marehemu mkononi wakimfariji mama yao kutokana na kufiwa na mbwa wake aliekuwa amempa jina la chi chi