Hapa ni bump to bump Ommy Dimples
akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika
usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila
chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,