A

A

Wapenda Ndoa,Tazama Ndoa ya Mtoto wa Rais wa Nigeria ilivyofana

Faith Sakwe Binti wa rais wa Nigeria, Rais Goodluck Jonathan ameolewa jana mchana huko Abuja na Godswill Osim Edward. Habari hii imerushwa laive na
TV ya taifa ya Nigeria.
Nigeria wana jali sana ndoa kuliko mataifa mengine duniani. Pia, kwasababu Ya waasi wa BOKO HARAM ulinzi ulikua ni wa hali ya juu sana yana hatari kumove ovyo ovyo