Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI, Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni.
Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china
Ni shidaaaaa...