JINSI MAFURIKO YANAVYOLITESA JIJI LA DAR..ANGALIA PICHA
Mburahati na Mayfair leo asubuhi
Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira. Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam
yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu
mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano
mito