Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini linaloundwa
na Theo Kgosinkwena Nhlanhla Nciza jana (March 5) limezikonga nyoyo za
mashabiki wake jijini Dar es Salaam.
Mwimbani wa kundi la Mafikizoro, Theo Kgosinkwe akifanya yake
Show hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City ilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali na wapenzi wa burudani hali iliyopelekea show hiyo kuwa nzuri zaidi.
Dancers wa Mafikizoro wakionyesha uwezo wao
Full Burudani ndani ya Mlimani City
Luca Neghesti na Nancy Sumari wakisubira show ya Mafikizolo
Mwimbaji wa Mafikizolo Nhlanhla Nciza
Jocelyne Maro na Wakazi akiwa na mtu wake wa karibu
Mtangazaji wa show ya Nirvana ya EATV (katikatia) akiwa ukumbuni kukusanya matukio mbalimbal
Theo Kgosinkwe akionyesha uwezo wake wa kucheza
Theo Kgosinkwe and Nhlanhla Nciza
Wadau wa burudani wakikata tiketi za kuingia kwenye show
Wadau wakisubiria burudani
Wadau walipendeza sana