Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli
Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa marehemu Edward
Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye ni afisa katika
balozi wa Taznania nchini Kanada, kuhusiana na maandalizi ya maadhimisho
ya miaka 30 ya kifo Cha aliyekuwa waziri mkuu an mbunge wa
Monduli
Marehemu Edward moringe Sokoine, kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete
ataongoza maadhimisho hayo pamoja na marais na mawaziri wakuu wastaafu.