Kwa mnaopenda za Jay Z na Beyonce, hizi ni picha zao 6 za sherehe za miaka 6 ya ndoa
Unaambiwa
mastaa hawa walisherehekea miaka yao sita ya ndoa huko Dominican
Republic wakiwa na mtoto wao Blue Ivy, kwenye nchi hii ambayo lugha
inayotumika ni Kihispania na wanasifika kwa utalii pamoja na kilimo cha Sugarcane, coffee, cotton, cacao; cattle.