A

A

MANENO YA KWANZA YA DIAMOND PLATNUM KWA UKAWAZ WANAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO,AWASUTA KINOMA NOMA

 
Hata Wawili wakipendana lazma kuwe na mahasidi wa kutaka kuwafitinisha Waachane... hivyo tusikubali mahasidi wafitinishe mapenzi yetu Zanzibar na Tanganyika... Wana wivu hao! #Onset... #Muungano_Video_shoot #Proudly_Tanzanian