LOWASSA KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN CENTRAL TANGANYIKA
Waziri
mkuu wa zamani Edwald Lowasa akiweka shada ya maua juu ya kaburi la
aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika aliyefariki
Mwishoni mwa mwezi uliopita alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya
kusini