A

A

KIGOGO JANGWANI LEO NI PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA, MAFURIKO BALAA, VIDEO NA PICHA CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI


Picha zinaonesha hali halisi ya jiji la Dar es salaam leo baada ya mvua kubwa kunyesha tangu jana asubuhi na usiku mzima wa kuamkia leo. Picha chini kulia ni hali halisi ya
eneo korofi la SHOPPERS PLAZA, Msasani Jijini Dar. Barabara haipitiki kabisa na magari madogo.
(PICHA IMETUMWA NA MDAU WA GLOBAL, 


Nawe unaweza ku SHARE nasi picha za matukio kama haya na mengine kupitia WhatsApp namba :+255 715 742 044)