Mkurugenzi
Mkuu wa Twanga Pepeta, Asha Baraka jana usiku alifunga ndoa rasmi na
Bwana Rastaman Idd Baka mfanya biashara maarufu huko Magomeni, mleta
picha hizi amesema haikuwa rahisi kuzichukua picha hizi kutokana na amri
aliyoitoa Mkurugenzi huyo ya kukataza picha ya aina yoyote kuchukuliwa
ndani ya harusi hiyo, habari zaidi zinakuja stay tuned!! |