Siku
ya Jumapili mchana tasnia ya muziki Tanzania ilimpoteza jembe mzee
Muhudin Gurumo, ambaye leo asubuhi aliaswaliwa nyumbani kwake Tabata
Kisukuru na baada ya hapo safari ikaanza kuelekea kijijini kwake Masaki
Kisarawe kwa ajili ya mazishi.
Imefahamika
kuwa siku chache kabla ya
kifo chake Mzee Gurumo alimwandikia Diamond
Platinum wimbo lakini hakufanikiwa kumkabidhi mpaka anaaga dunia, lakini
pia kumbe mzee Gurumo aliwahi kumsuprize Diamond kwa kuibuka kwenye
moja kati ya shoo zake.
Zaidi huyu hapa Diamond anafunguka